LATEST ARTICLES

video

Video: Nedy Music Ft. Christian Bella – Rudi

Here is the official video " RUDI " by Tanzanian Bongo Flava superstar NEDY MUSIC featuring East African finest Christian Bella Lovely African Tune Produced by Abbydady

Download Music: Q Chief Ft. Patoranking – Koku

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Q-Chillah ameachia rasmi wimbo wake mpya unaitwa “Koku” ambao amemshirikisha mkali wa dancehall kutoka Nigeria Patoranking. Sikiliza hapa chini. Download Music: Q Chillah Ft Patoranking – Koku Sikiliza:

Darassa aitaja siri ya muziki wake kukubalika

Msanii wa miondoko ya hip hop nchini, Sharif Ramadhan, amesema siri iliyopelekea nyimbo zake kukubalika ni kutambua wanachotaka mashabiki wa muziki wake. Darasa aliliambia MTANZANIA kwamba katika ushindani wa sasa, msanii hatakiwi kukurupuka, bali anatakiwa...

Yafahamu haya mazoezi ambayo huongeza na yanayo punguza mbegu za uzazi

Mazoezi ya nusu saa mara tatu kwa wiki kwa wanaume yana uwezo wa kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mbegu za kiume kwa mujibu wa wanasayansi Wanaume ambao wameendelea na zoezi la kukimbia kila wakati...
video

Video: Soulja Boy atupia video Instagram akiwa kashikiliya bastola kwaghadhabu akizungumzia bifu lake na...

Soulja Boy atupia video Instagram akiwa kashikiliya bastola kwaghadhabu akizungumzia bifu lake na Quavo Rapa Soulja Boya anadai kuwa alisubiri masaa sita kupambana na Quavo. Bifu jipya kati ya Soulja Boy na Quavo, Linachukua sura mpya...
video

Video: Shabiki aminya uume wa R Kelly akiwa jukwaani

Ijumaa ya kumalizia week iliyopita inakuwa ya kukumbukwa kwa mwanamuziki wa Rn'B nchini Marekani, R Kelly, baada ya kujisogeza karibu na shabiki wakati anaimba huku akimuacha ampapase mwili wake mwishowe kuambulia kuminywa korodani akiwa...
video

Video: IYO Ft. Diamond Platnumz – Loving You

New music video by IYO, performing "Loving You" together with Diamond Platnumz.

Download Music: Nedy Music Ft. Christian Bella – Rudy

Bofya ku Download Music: Nedy Music Ft. Christian Bella - Rudy. Sikiliza:

Hizi ni picha za kwanza za Mtoto wa Diamond Platnumz na Zari

Hayawi hayawi na sasa yamekuwa. Hatimaye Zari The Bosslady na Diamond wamefanikiwa kumpata prince wa familia aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu kubwa. Mtoto huyo amezaliwa saa 10 na 35 Alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki,...
video

Video: Sholo Mwamba – Ghetto

Muziki wa Kisingeli, Shollo Mwamba amekuja na video ya Ghetto. Itizame hapo juu, Share, Comment mtazamo wako.

Download Music: Young Dee – Furaha

Bofya ku Download Music: Young Dee - Furaha. Sikiliza:
video

Video: Young Dee – Furaha

Tanzanian Young Hip Hop Artiste Young Daresalama presents the official Music Video for his new single "Furaha". Shot on Location in Dar es Salaam, directed by Hanscana. Song Produced by, Mr. T-Touch of Tanzania Label; MDB...
video

Video: M-Rap afunguka ku copy and pest kipande toka kwenye video ya Ludacris

Rapa wa Bongo, M-Rap ameachilia wimbo na video yake kwa jina la 'Ts Not Too Late' akiwa kamshirikisha Mayunga, ambapo amefanya chini ya muongozaji Msafiri nchini Afrika Kusini. Video hiyo kutoka kwa M Rap kwa...

Nisha Bebee adai ujauzito ungekuwa niwa Baraka Da Prince, Basi uketoka wenyewe

Muigizaji wa filamu Salma Jabu ‘Nisha’ amedai kuwa endapo ujauzito wake ungekuwa wa Baraka The Prince kama inavyosemwa na wengi basi ungetoka wenyewe mapema kwa kuwa muimbaji huyo ni miongoni mwa wanaume asiowapenda duniani. Akizungumza...
video

Video: Suma Mnazaleti Ft Barakah the Prince – Ndele

Msanii Suma Mnazaleti baada ya kuwa kimya huu ndio ujuo wake amechia video mpya ya wimbo “Ndele”, Amemshirikisha Barakah the Prince. angalia hapa chini.
video

Video: Darassa azunguka hii mikoa mitatu kufanya show, Yote wanaukubali wimbo wa ‘Muziki’ ft...

Hii hutokea kwa nadra sana na tena kwa wasanii wachache tu wenye ngekewa zao. Kama ni soka, basi Darassa amepiga hat-trick. Kama Utanipenda, Too Much na Muziki ni nyimbo zilizobadilisha upepo katika maisha ya...

Download Music: Vanessa Mdee – Cash Madame

Bofya ku Download Music: Vanessa Mdee – Cash Madame Sikiliza:
video

Video: Vanessa Mdee – Cash Madame

Vanessa Mdee presents her brand new video, 'Cash Madame'.
video

Video: Victoria Kimani Ft. Sarkodie – Giving You

Victoria Kimani, born in Los Angeles, California is originally from Kenya. She started writing, recording and performing music at the age of 16. Following her high school years in Nigeria, she moved back to...

Bifu tatu zilizotikisa kwa mwaka 2016

Bifu ni kirusi hatari kwa wasanii duniani. Kwa bahati mbaya inatanabaishwa kuwa, wakati fulani (ingawa kwa asilimia ndogo sana) bifu husaidia kukuza sanaa na wasanii husika kwa jumla. Hapa Bongo, wapo wasanii kadhaa ambao wamejikuta  wakiingia...