Entertainment

Entertainment
Muziki imekua ni ngoma ya kihistoria katika maisha ya Darassa pamoja na Bongo Flava kwa ujumla kwa sasa. Naweza kusema ni ngoma ambayo imeishi muda mrefu na bado inazidi kufanya vizuri. Haikuwa mategemeo yangu kuona watu watagoma kupokea kazi nyingine...
Rapper Roma Mkatoliki amesema ngoma yake ‘K’ yenye mahadhi ya Singeli na aliyofanya na Baghdad imeongeza idadi ya simu anazopigiwa na mapromota kwaajili ya show. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Roma amesema wimbo huo umekuja...
Saa 24 baada ya kutumia Snapchat kuelezea kummwaga meneja wake wa zamani, Kamal Ajiboye na kuwachana Sony Music, Davido ameajiri meneja mpya. Davido amemteua Ayo George ambaye hana jina kubwa kuwa meneja wake mpya. Awali alisema kuwa atajisimamia mwenyewe na...
Rapa Nay wa Mitego baada ya kusikiliza wimbo wa Madee 'Hela' katika kipindi cha Planet Bongo EA Radio amefunguka na kumtaka msanii kutoka 'WCB Wasafi' Rayvanny kuja kumsaidia kaka yake huyo (Madee) katika uandishi. Nay amesema kuwa akisiliza wimbo huo...
Msanii wa bongo fleva Ditto amesema anajipanga kurudi na mfumo wa kuachia albam ya nyimbo zake mwishoni mwa mwaka huu japo haijazoeleka kwa wasanii wa Tanzania. Uamuzi huo wa kutoa albam unamfanya awe ameungana na wazo la kundi la muziki...
Msanii wa bongo fleva Mo Music amewasihi wasanii wezake kutengeneza nyimbo nzuri badala ya kutafuta kiki mbalimbali ili kutengeneza 'hit song' huku wakitengeneza nyimbo mbaya zisizo na ujumbe wowote kwenye jamii. Akiongea kupitia eNewz Mo Music mwaka 2016 haukuwa mzuri...
Kama unaifuatilia Planet Bongo ya East Africa Radio, Basi utafahamu kuwa kila Ijumaa kwenye show hiyo nisiku ya Heshima ya Bongo flava. Hapo utapata kusikia zile ngoma kali za Bongo flava zilizo hiy zamani na story kutoka kwa wakongwe wa...
Video ya wimbo Dume Suruali wa Mwana FA aliyomshirikisha Vanessa Mdee imevunja historia ya rapa huyo kwa kuwa video yake ya kwanza katika historia yake ya muziki kufikisha watazamaji wengi zaidi katika mtandao wake wa 'You tube' Video ya 'Dume...
Msanii wa Filamu nchini Elizabeth Michael ambaye amekuwa msanii wa kwanza kufungua kipindi cha 'NgazKwaNgaz' mwaka 2017 ametaja video zake 20 ambazo zilimkosha sana na kumfurahisha mwaka jana. Katika ngoma 20 zilizofunga vizuri mwaka kwa Lulu Michael wimbo wa Darassa...
Rapa Young Killer ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Sinaga swaga' amefunguka na kutaja wasanii wa Hip hop bongo wakali ambao yeye anawaheshimu na kuheshimu kazi zao siku zote. Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live Young Killer alimtaja...

Most Trending