Gossip

Gossip
Msanii wa Bongo fleva kutoka kitaa cha Manzese ambaye ndiye anayetambulika kama Rais wa Manzese, Madee, amemchana mwenzake kutoka kitaa hicho, Nay wa Mitego kwamba hana uwezo wowote kwenye muziki. Madee akiwa kwenye kipindi cha FNL cha EATV ambacho huruka...
Baada ya story kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Navio amefariki kutokana na ajali, kupitia The Cruz ya EA Radio ukweli umewekwa wazi. https://youtu.be/LFWNbu1z-Jc
Mkali wa muziki wa singeli Bongo, Man Fong amemtaja msanii mwenzake wa bongo fleva na bongo movie, Shilole a.k.a Shishi Trump kuhusika katika ujenzi wa nyumba yake ambayo anataraji kuijenga wakati wowote kutoka sasa. Man Fongo aliyekuwa katika mahojiano kwenye...
Baada ya kumlaumu Shilole kuwa alimkana na kusema hamjui wakati walisha fanya naye kazi kwa muda wa miaka miwili, Kisha kuzinguana huku Monastar akidai kuwa Shilole alidhani anamuibia penzi... Leo Monastar anatangaza kutaka tena kuja kufanya ngoma na Shilole. https://youtu.be/blOSnzED6w8
Rapa Nikki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kuweka wazi sababu ambazo zinawafanya wao kama Weusi kutoweka wazi maisha yao binafsi ikiwepo maisha ya mapenzi na maisha ya kawaida ya kila siku Akionge kwenye kipindi cha Planet...
Rapa Stereo ambaye siku za karibuni aliweka wazi nia yake na hisia zake juu ya kuhitaji kwa udi na uvumba penzi la Chemical jana wameweza kukutana live kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV kila Ijumaa kuanzia...
Msanii Nuh Mziwanda ambaye bado anafanya vyema na wimbo wake 'Jike shupa' amekanusha tetesi za yeye kuwa pamoja na mpenzi wake wa zamani Shilole jijini Mwanza siku mbili hizi. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, Nuh Mziwanda anasema ni kweli...
Zikiwa zimepita wiki kadhaa tangu Rapa Stereo kutangaza mbele ya jamii kupitia EA Radio kuwa anahitaji penzi la Rapa Chemical na kuona anafanya mipango ya kuwa naye kama mpenzi au mchumba Rapa huyo hajakata tamaa juu ya ndoto yake...
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Flora Mbasha, amesema yakwamba maisha ya kwake na aliye kuwa Mume wake, Emmanuel Mbasha, watu wayaache kama yalivyo kwakuwa haina maana hata wakiyaweka wazi kwenye vyomba vya habari. Inakumbukwa kuwa Flora Mbasha alifunguka...
Mwanamuziki Ben Pol amefunguka na kuweka wazi ukweli kuhusu tuhuma za yeye kuiba Idea ya wimbo wa 'Phone' ambao amefanya na Mr Eazi Ben Pol amesema katika wimbo wake wa 'Phone' Verse ameandika yeye neno kwa neno na sehemu ambayo...

Most Trending