Lifestyle

Lifestyle
Wanawake wengi hawawezi kutoka nyumbani bila kuhakikisha kucha zao zimeng’aa kwa rangi nzuri na zenye kupendeza. Bila ya kufanya hivyo utaonekana sio mwanamke wa kileo. Lakini leo hii mimi kama wanasayansi wengi duniani kwa kutambua viambato vilivyopo kwenye rangi nyingi...
Msanii wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee amefunguka na kusema wanawake wengi wanaogopa kuanza maisha mapya ya mahusiano kwani wengi wao wanashindwa kuondoka kwenye ndoa zao ambazo hazina afya. Lady Jaydee alisema hayo kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa...
Utafiti uliofanywa na shirika la Oxfam la Uingereza unaonesha mabilionea wanane wanamiliki mali sawa na mali ya watu 3.6 bilioni kwa pamoja. Takwimu za shirika hilo, ambazo zimepingwa na baadhi ya wakosoaji, zinatokana na maelezo na habari za kina zilizokusanywa...
Mwanamume mmoja nchini Uganda amezikwa pamoja na dola 5,700 pesa taslim, ambazo alitaka kumlimpa Mungu ili ampe msamaha kwa dhambi zake na kumuokoa kutoka kwa moto wa ahera. Charles Obong, mfanyakazi wa zamani wa serikali ambaye aliaga dunia akiwa na...
Unajua biashara ya kupika inalipa kiasi gani? Muulize Zuwena Mohammed (Shilole), kwani kitu hicho ndicho kilichomfanya msanii huyo achukue biashara hiyo aliyokuwa akiifanya mama yake. Shilole aliliambia MTANZANIA kwamba, kama wasanii wasichana wangejua faida ya biashara ya chakula wangewekeza huko...
Muimbaji wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, ameonyesha jinsi anavyo mpenda Mke wake Flora Mbasha, ambaye hapo awali alipeleka malalmiko mahakamani na kudai talaka. Huyu hapa akilililia penzi lake na kumsihi warudiane waishi pamoja. https://youtu.be/6Q02Wj7yar8
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Flora Mbasha, amesema yakwamba maisha ya kwake na aliye kuwa Mume wake, Emmanuel Mbasha, watu wayaache kama yalivyo kwakuwa haina maana hata wakiyaweka wazi kwenye vyomba vya habari. Inakumbukwa kuwa Flora Mbasha alifunguka...
Rapa Nay wa Mitego ameonesha kusikitishwa na moja ya video ambayo inamuonesha mwanamke akiwa amezungukwa na wazee na vijana wengi wakimchapa viboko kama adhabu kutokana na makosa ambayo mwanamke huyo ameyafanya. Rapa Nay wa Mitego baada ya kuitazama video hiyo...
Couple zenye nguvu zimeunganika tena. Kim Kardashian na Kanye West waliwatembelea Beyoncé na Jay Z, nyumbani kwao, Holmby Hills, Los Angeles, Ijumaa, January 6, wiki kadhaa baada ya West kuwachana hadharani. X17 iliripoti kuwa staa huyo wa Keeping Up With...
Issue ya madawa ya kulevya imekuwa kubwa sana kwa sasa nchini Tanzania baada ya watu wengi maarufu kuonekana wanatumia na madai yakiwa ni stress za kimaisha. Jay Moe amewaona wao nikama wajinga kwakile alicho sema kuwa hata wao waliteseka ku...

Most Trending