Music

Music
Bofya ku Download Music: Young Dee - Furaha. Sikiliza:
Bofya ku Download Music: Vanessa Mdee – Cash Madame Sikiliza:
Bofya ku Download Music: Darassa Ft. Ben Pol – Muziki. Sikiliza:
Bofya ku Download Music: Rich Mavoko Ft. Diamond Platnumz - Kokoro. Sikilza:
Baada ya kufanya vizuri na ngoma ya ‘Asanteni kwa kuja”, Mwana Fa ameachia ngoma yake mpya wimbo unaitwa “Dume Suruali” amemshirikisha Vee Money. Producer Daxo Challi. Bofya ku Download Music Mwana FA Ft. Vanessa Mdee – Dume Suruali. Sikiliza:
Ushindi wa Donald Trump kuwa Rais mteule wa Marekani umeonekana kuwakera mastaa wakubwa wa nchi hiyo kutokana na sera zake – Nicki Minaj amemdiss kwenye wimbo wake mpya ‘Black Barbie’. Rapper huyo ameonekana kuchukizwa zaidi na sera ya Trump ambayo...
Basi kama ulizoea sauti ya Wanamuziki kutoka WCB wakiwa wanaimba nyingo tu za 'wabana pua', hapa Rayvan ameonyesha uwezo wa kurap tofauti na kawaida. Bofya ku Download Music: Rayvanny - Sugu. Sikiliza:
Mwanamuziki Alikiba naungana na Ommy Dimpoz na wanakuletea Kajiandae. Bofya ku Download Music: Ommy Dimpoz Ft. Alikiba - Kajiandae. Sikiliza;
Kutoka Nigeria, Yemi Alade anakuja na Gucci Ferragamo. Bofya ku Download Music: Yemi Alade - Gucci Ferragamo. Sikilza:
Msanii Lumino kutoka DR Congo, amabye pia ni Producer ameachia ngoma yake mpya wimbo unaitwa “Rockonolo”, amemshirikisha Mohombi ambaye na yeye pia ana asili ya DRC. Bofya ku Download Music: Lumino Ft Mohombi – Rockonolo. Sikiliza:

Most Trending