News

News
Featured posts
Katika hali isiyo ya kawaida mkulima mmoja aliyefahamika kwa majina ya Agustino Pius mkazi wa kijiji cha Dodoma Isanga tarafa ya Masanze wilaya Kilosa mkoani Morogoro amechomwa mkuki mdomoni na kutokea upande wa pili wa shingo baada ya kuzuka...
Mkazi wa Mtaa wa Mateka, Manispaa ya Songea, Denis Komba (26) kufa baada ya nyoka wake aliyekuwa amembeba kwenye mfuko wa jaketi kuuawa na wananchi. Komba alifariki dunia katika hospitali ya Rufaa Songea mkoa wa Ruvuma (Homso) ambako alilazwa baada...
Askari polisi wanne mkoani Kilimanjaro waliotuhumiwa kutengeneza tukio la ushoga kwa mchungaji wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) wamefukuzwa kazi. Polisi hao walidaiwa kumkamata mchungaji huyo na mwanaume mwingine katika nyumba ya kulala wageni wilayani Hai, kumshurutisha avue nguo,...
Rais huyo mteule ambaye ataingia ofisini mwezi ujao amesema kuwa Marakani ni lazima ichukue hatua kama hizo, hadi wakati ulimwengu utatathmini suala la nuklia. Trump aliyazungumza hayo saa kaadha baada ya rais wa Urusi Vladimir Putin kusema kuwa Urusi inahitaji...
Mwandishi wa habari wa ITV mkoani Arusha Bw Khalifa Lihundi anashikiliwa na polisi kituo cha Usa River wilayani Arumeru mkoani Arusha kwa tuhuma za kuandika habari za zinazodaiwa kuwa ni za uchochezi. Bw Lihundi amekamatwa jijini Arusha majira ya saa...
Takribani watu 26 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa kutokana na mlipuko mkubwa wa moto uliotokea katika Soko la fataki San Pablito kilomita 36 nje kidogo ya mji wa Mexco city. Wingu zito la moto kutokana na mlipuko huo katika soko...
Rapper Darassa na Hanscana wamepata ajali ya gari leo wakitokea Kahama kuelekea Geita kwaajili ya show. Taarifa tulizopata wote wamenusurika kwenye ajali hiyo.  
Hali ya hewa jijini Baltimore huko Maryland imesababisha ajali hii ya lorry la mafuta lililo lipuka baada yakugonga reli na kupinduka kisha kulipuka nakusababisha kifo cha watu wawili na majeruhi tisa asubuhi ya Jumamosi hii.
Mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu nchini Tanzania (NIMR), Dkt Mwele Malecela, ambaye alitangaza kugunduliwa kwa virusi vya Zika nchini Tanzania, amefutwa kazi. Taarifa kutoka kwa mkurugenzi wa mawasiliano ya ikulu Gerson Msigwa inasema Rais wa John...
Ndege iliyobeba watu 81, wakiwemo wachezaji wa klabu moja ya soka ya Brazil, imeanguka eneo la Medellin nchini Colombia. Taarifa zinasema watu 25 wamethibitishwa kufariki na sita wamenusurika.. Ndege hiyo inadaiwa kupata hitilafu za mfumo wake wa umeme. Ndege hiyo ilikuwa safariki...

Most Trending