Sports

Sports
Kocha wa muda wa Azam FC Idd Cheche ameelezea jinsi alivyofanikiwa kuikamata Yanga na kuitungua goli 4-0. Huku ikicheza soka la hali ya juu, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC usiku wa jana imeiendesha mchakamchaka Yanga kwa...
Ronda Rousey hakuweza kuhimili makonde mazito toka kwa Mbrazil, Amanda Nunes aliyemchakaza kwenye pambano la UFC 207 la ubingwa wa bantamweight, lililofanyika Las Vegas, asubuhi ya Jumamosi kwa saa za Afrika Mashariki. https://youtu.be/VvDaqct7ZJo Pambano lilianza kwa Nunes kurusha makonde mfululizo kwa...
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi na kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d'Or hii ikiwa ni kwa mara ya nne. So happy and glad to win. Thanks Real Madrid and Portugal National...
Real Madrid imemsainisha mkataba mpya winga wake Gareth Bale na kumfanya aendelee kudumu klabuni hapo mpaka 2022. Bale mchezaji wa zamani wa Southampton alijiunga na klabu hiyo akitokea Tottenham Hotspur mwaka 2013. Tiyari ameisaidia Madrid kushinda vikombe vitano katika misimu mitatu...
Aliyekuwa mchezaji mashuhuri wa timu ya Brazil Carlos Alberto ,ambaye alikuwa nahodha wa kikosi kilichoshinda kombe la dunia mwaka 1970 amefariki akiwa na umri wa mika 72. Alifunga mojawapo ya mabao mazuri zaidi duniani katika historia ya kombe la dunia...
Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza kufikia 24 Oktoba, 2016  
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa katika ligi ya Uingereza Chris Sutton amesema kuwa wakati umefika kwa wachezaji soka wanaounga mapenzi ya jinsia moja kujitangaza. Mwenyekiti wa shirikisho la soka nchini Uingereza Greg Clarke ameiambia kamati ya wabunge...
Mchezo wa kusisimua wa ligi kuu ya soka England umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana. Katika mchezo huo kipindi cha kwanza timu zote zilishambuliana kwa zamu huku kipindi cha pili Liverpool ikishambulia zaidi lango la United. Kocha wa Liverpool...
Matamshi ya Jose Mourinho kuhusu uteuzi wa mwamuzi anaeshabikia Manchester United Anthony Taylor kwa mchezo wa ligi kuu England kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool utakaochezwa leo jumatatu yatachunguzwa na Shirikisho la Mpira wa miguu nchini humo FA. Mourinho...
Michuano ya klab bingwa barani ulaya inaendelea katika hatua ya makundi ambapo Usiku wa kuamkia leo michezo michezo nane ilipigwa katika viwanja tofauti. Arsenal ikiwa nyumbani ilibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Basel ya nchini uswizi, magoli yote yaliwekwa...

Most Trending