SHARE

Rapper Chindo Man ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Torati ya Mtaa”, amewashirikisha Wakazi,Fid Q na Dully Sykes. Video imeongozwa na Shebuge.