SHARE

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Flora Mbasha, amesema yakwamba maisha ya kwake na aliye kuwa Mume wake, Emmanuel Mbasha, watu wayaache kama yalivyo kwakuwa haina maana hata wakiyaweka wazi kwenye vyomba vya habari.

Inakumbukwa kuwa Flora Mbasha alifunguka kesi mahakamani dhidi ya aliye kuwa mume wake, Emmanuel Mbasha, kesi ya kudai talaka kwa kosa la mume wake kudaikwa kum’baka mfanyakazi wao wa ndani.