SHARE
Rapa kutoka kundi la Weusi, Joh Makini

Mchezo wa ku-hacke account za wasanii na watu maarufu umerejea tena kwa kishindo kwakipindi hiki baada ya siku chache tu kupita kusikia kuwa account ya mwanamuziki Linah Sanga imedukuliwa na sasa ni account ya Joh Makini.

Account ya Joh Makini ya Instagram wameidukua nakubadilisha jina ambalo lilikuwepo nakuipa jina la Mzimu wa Baba na kwasasa wameipa jina la Tatizo Umsikinitz.