SHARE

Muimbaji wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, ameonyesha jinsi anavyo mpenda Mke wake Flora Mbasha, ambaye hapo awali alipeleka malalmiko mahakamani na kudai talaka.

Huyu hapa akilililia penzi lake na kumsihi warudiane waishi pamoja.